Kagera Cooperative Union (1990) Limited

Nyongeza ya Bei

TANGAZO

 

 

KCU (1990) Ltd, inatangaza Nyongeza ya Bei kwa Kahawa Hai (Organic) Msimu 2022/2023 kama Ifuatavyo:-

Arabica Tshs. 400/- kwa Kilo
Robusta Tshs. 300/- kwa Kilo

UTAWALA.

03.04.2023
Nyongeza ya Bei