Kagera Cooperative Union (1990) Limited ZABUNI TANGAZO LA ZABUNI YA WATOA HUDUMA MSIMU 2026/2027 KCU (1990) Ltd, Inatangaza Zabuni kwa Watoa Huduma katika nafasi mbalimbali msimu 2026/2027. Maombi yanakaribishwa kutoka makampuni mbali mbali yenye vigezo na uwezo wa kutoa Huduma
