Kagera Cooperative Union (1990) Limited

Tangazo la Zabuni

KAGERA CO-OPERATIVE UNION (1990) LTD

Chama Kikuu cha Ushirika cha Kagera Cooperative Union (1990) Ltd ni Chama kilichoandikishwa chini ya sheria ya vyama vya ushirika No. 6 ya mwaka 2013 pamoja na kanuni zake za mwaka 2015. Kwa mwaka 2024/2025, chama kimetenga fedha za ununuzi wa pikipiki mpya 30 aina ya Haojue kwa ajili ya kurahisisha shughuli za maafisa ugani. Hivyo tunatangaza zabuni hii kuwaalika wauzaji wa pikipiki kutuma maombi ya kutoa huduma tajwa.

05.07.2024

Ili kuona Tangazo zima, pakua hapo chini:

Zabuni ya Pikipiki