Kagera Cooperative Union (1990) Limited TANGAZO LA ZABUNI KAGERA CO-OPERATIVE UNION (1990) LTD TANGAZO LA ZABUNI YA WATOA HUDUMA MSIMU 2024/2025. KCU (1990) Ltd, Inatangaza Zabuni kwa Watoa Huduma katika nafasi mbalimbali msimu 2024/2025. Maombi yanakaribishwa kutoka makampuni mbali