Kagera Cooperative Union (1990) Limited

TANGAZO LA ZABUNI

KAGERA CO-OPERATIVE UNION (1990) LTD

TANGAZO LA ZABUNI YA WATOA HUDUMA MSIMU 2024/2025.

 

KCU (1990) Ltd, Inatangaza Zabuni  kwa Watoa Huduma katika nafasi mbalimbali msimu 2024/2025.

Maombi yanakaribishwa kutoka makampuni mbali mbali yenye uwezo wa kutoa Huduma zifuatazo:-

05.04.2024
MAOMBI YA ZABUNI YA WATOA HUDUMA KWA KCU(1990) MSIMU 2024/2025

Yatumwe kwa:-

MENEJA MKUU,
KCU (1990) LTD,
PO Box 5,
BUKOBA.

Bahasha hiyo iletwe kwa mkono katika Ofisi ya Manunuzi KCU (1990) Ltd kabla au mnamo tarehe 19.04.2024 saa 4.00 asubuhi siku ya Ijumaa na Ufunguzi wa maombi yote utafanyika muda huo, waombaji au wawakilishi wa waombaji wanaalikwa katika ufunguzi mara tu baada ya saa ya mwisho ya kupokea Zabuni.

Maombi yatakayochelewa, maombi yasiyokamilika, maombi yaliyowasilishwa kwa njia ya kielektroniki na maombi yasiyokuwepo siku ya ufunguzi hayatahusishwa na uchambuzi wa kumpata mzabuni.

Imetolewa na:-

MENEJA MKUU

KCU (1990) LTD

Tangazo la Zabuni Msimu 2024/2025