Kagera Cooperative Union (1990) Limited

Tangazo la Mkutano Mkuu Maalum

TANGAZO LA MKUTANO MKUU MAALUM WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA KAGERA - KCU (1990) LTD

Wanachama wa Vyama vya Ushirka vya Msingi vinavyounda Chama Kikuu cha Ushirka cha Kagera – KCU (1990) Ltd Wilaya za Bukoba,Muleba, Missenyi na Manispaa ya Bukoba mnataarifiwa kwamba kutakuwepo na Mkutano Mkuu Maalum utakaofanyika tarehe 10/08/2023 siku ya Alhamisi kuanzia saa tatu Asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Bukoba Coop Manispaa ya Bukoba.

Wajumbe wa Mkutano wamepelekewa barua za mialiko kwa barua yenye Kumb. Na. KCU/M.1/V/67 ya Tarehe 01/08/2023.

1. KUFUNGUA MKUTANO.

2. KUJADILI NA KUPITISHA AZIMIO LA UANZISHWAJI WA SACCOS.

3. KUFUNGA MKUTANO.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum mnahimizwa kuwahi na kukaa katika Mkutano muda wote.

 

Imetolewa na:-

 

 

Edson Rugaimukamu

KATIBU WA MKUTANO

01/08/2023

03.08.2023
Tangazo la Mkutano Mkuu Maalum