Bahasha hiyo iletwe kwa mkono katika Ofisi ya Manunuzi KCU (1990) Ltd kabla au mnamo tarehe 19.04.2024 saa 4.00 asubuhi siku ya Ijumaa na Ufunguzi wa maombi yote utafanyika muda huo, waombaji au wawakilishi wa waombaji wanaalikwa katika ufunguzi mara tu baada ya saa ya mwisho ya kupokea Zabuni.
Maombi yatakayochelewa, maombi yasiyokamilika, maombi yaliyowasilishwa kwa njia ya kielektroniki na maombi yasiyokuwepo siku ya ufunguzi hayatahusishwa na uchambuzi wa kumpata mzabuni.
Imetolewa na:-
MENEJA MKUU
KCU (1990) LTD