Kagera Cooperative Union (1990) Limited
TANGAZO LA ZABUNI
KAGERA CO-OPERATIVE UNION (1990) LTD
KCU (1990) Ltd, Inatangaza Zabuni kwa Watoa Huduma katika nafasi mbalimbali msimu 2023/2024.
Maombi yanakaribishwa kutoka makampuni mbali mbali yenye uwezo wa kutoa Huduma zifuatazo:-
MAOMBI YA ZABUNI YA WATOA HUDUMA KWA KCU(1990) MSIMU 2023/2024.
Yatumwe kwa:-
MENEJA MKUU,
KCU (1990) LTD,
PO Box 5,
BUKOBA.
Bahasha hiyo itumbukizwe ndani ya sanduku la zabuni lililopo mkabala na ofisi ya Meneja Mkuu. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 21.04.2023 saa 4.00 asubuhi. Waombaji mnakaribishwa siku ya ufunguzi wa barua za maombi KCU makao makuu. Aidha, KCU ni mwamuzi wa mwisho na hailazimiki kukubali maombi yenye bei ya chini.
“Pamoja Tujenge Uchumi”
06.04.2023
Zabuni za Watoa Huduma